Thanks Arushaone kwa kunipigania.

Thanks Arushaone kwa kunipigania.

Sasa hivi sitaki umjue hata mume wangu
nakujua lazima utapita juu kwa juu kama ulivyopita kwa Arushaone na kwa Mr Rocky na kwa wengine ambao unawajua hata wewe mwenyewe.
Hapa utapewa tu kadi ya mwaliko hata ya mchango wa harusi hautapewa kabisa,

Kumbe binamu Madame B ni bonge la pirate eenh? lakini mbona ukimtazama usoni hafananii kabisa?
 
Last edited by a moderator:
Mungu mkubwa, na kwenye PM zako niandikie hivyohivyo SIKUTAKIIII, Sio unazuga hapa afu unanibembeleza kwenye PM .....

Akhaaa,
Mtu mwenyewe wewe bahili mtupu.
Au ka vipi tukutane Brajec.
Copy aione Ritz.
 
Last edited by a moderator:
Lakini Mamndenyi mbona mie nimekupenda na kukukubali kwa kukuangalia usoni tu, hayo memgine ya moyoni yatakuja baadae sana.

acha kuangalie uso hapo hautapata ukweli angalia moyo
hapa pia imani inaniishia hilo neno la binamu nyama ya hamu
siliamini tena;

Ili usiendelee kuishi kwa mashaka imebidi tubadilishe undugu wetu na Madame B kutoka binamu nyama ya hamu na kuwa kaka na dada.Hii ni katika kukudhihirishia kuwa nina nia njema sana na wewe lakini pia dadangu Madame B amekudhihirishia jinsi alivyo na nia nzuri sana na wewe, tena ameniambia wewe ni dada yake wa hiari.

yako wapi Mwita Maranya
hapa ushakuwa kaka,
daah sasa hivi sitaki tena ndoa ya mashaka
unaweza kuendelea na binamu/dada yako kwanza.

Mchumba wangu Mamndenyi ukifanya hivyo utakuwa hujajitendea haki. Au kwakuwa umeshazoea matatizo ya uswazi, talaka kila uchao kiasi kwamba maisha ya raha kwako ya kutulia na wako mpenzi unaona tabu kuyaishi? fikiria mara mbili usije ukakosa mwana na maji ya moto. Au wazee wa zengwe uswazi fc washaafanya fitna? cc: Baba V na Katavi mbona mapema namna hii...???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom