Thanks Arushaone kwa kunipigania.

Thanks Arushaone kwa kunipigania.

ai lav yu bila hela, hivi itasikika?

Afu wewe! Hivi una habari Saida Karoli kafariki usiku huu kule ziwa Victoria baada ya mtumbwi kupigwa na dhoruba? It's NOT JOKE. Ameacha pesa nyingi...nawe wataka nikupe pesa?
 
Lady doctor, hiko cheo naona kinataka kukushinda.
Achana na akina Arushaone hawana hela hao.
Fanya kazi
Huoni mwenzio The secretary alivotulizana!

Si unajua zamu yako ilishaeksipaya? Ni zamu ya Lady doctor sasa
 
Last edited by a moderator:
siunajua Madame B ndiye aliyenipa hiki cheo nilazima nimueshimu.
Ila leo nitatoroka nije kwako mpenzi usifunge mlangoeee!

Nakungoja mpenzi, usichelewe.

Afu kuna kazee Asprin naona kanakufatafata.....tupa kule!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom