Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
Thanks a lot my X.
Ila najua wakati natangaza msimamo wangu juu yako, nilikuwa nimepiga viroba kadhaa.
Ben Saanane yupo, tunakula tu bata.
mMMMMh
Last edited by a moderator:
Thanks a lot my X.
Ila najua wakati natangaza msimamo wangu juu yako, nilikuwa nimepiga viroba kadhaa.
Ben Saanane yupo, tunakula tu bata.
Wewe si uliniacha.
Utajijuuu..
Mpaka hapo nimeamini kweli mtalaka hatongozwi na kiporo hakihitaji moto mwingi kuliwa. Jitahidi kupasha kiporo chako soon utatenga ukile teh teh.
Mpaka hapo nimeamini kweli mtalaka hatongozwi na kiporo hakihitaji moto mwingi kuliwa. Jitahidi kupasha kiporo chako soon utatenga ukile teh teh.
we ni bingwa wa kuachwa
Gari anunue yeye, mafuta tuweke sisi.
Nyumba ajenge yeye, kodi tulipe sisi.
Mke aoe yeye, matunzo tumpe sisi.
Mimba atie yeye, kujifungua tumpeleke sisi.
Kunywa anywe yeye, kulewa tulewe sisi.
KUKUTOA NIKUTOE MIMI SELO, SIFA APEWE YEYE.
...........MAJANGA........

Ah wapi!!
Twapendana sie.
Mh!
Nishapewa za uso pale juu, nina hamu.
Kumbe anambendea charminglady eti.
Ila Poa, kitaeleweka tu mbeleni.