AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,203
- 22,586
Salamu na salamu za muda huu ni mimi kwa mara nyingine niliye mdogo kuliko ila ni mwingi wa hekima, busara, ucheshi wa faida na maarifa yaliyo mema ninawasalimu na kuwaandikia wakuu. Itikieni mmeisikia salamu.
Ngoja nitembelee moja kwa moja kwenye mada km ilivyo ada km ambavyo kichwa cha mada kinavyojieleza kipo wazi hapo juu bila ya kuwekewa pazia.
Katika pitapita zangu za hapa na kule kwenye kusafisha macho na kuangalia na kuangazia uzuri wa hii dunia [such a beautiful world] na mama nature.
Nimekuja kugundua, kubaini na kuthibitisha ya kwamba ama kwa hakika Tanzania tumebarikiwa sio tu kwamba tumebariki Mbuga za Wanyama, Mapori tengefu, Madini, Vito vya thamani, Fedha, na Dhahabu ila ni kweli tumebarikiwa kua na wanawake warembo [OMG those beautiful women].
Kwenye kusafisha safisha kwangu macho kwa safari za hapa na pale kusafirisha macho kwenye kioo changu nakumbuka nilitembelea Ghana, Nigeria, Malawi, Congo DRC, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Madagascar, TOGO, Tunisia, Mozambique, Zimbabwe, South Africa, Zambia, Gabon, Senegal, Namibia, Morocco, Egypt, Liberia, Libya, Ethiopia, na nakumbuka safari ya mwisho kabisa nikamalizia na Japan [nawapenda Japanese women hakika ni warembo]. Ukitaka kuthibisha ninachokwambia Google uwaone.
Tanzania ina wanawake wazuri sana warembo haswa [pisikali] uzi wa warembo upo humu humu ukiupitia utawaona mwenyewe lakini ninahisi shida ya wanawake wengi wa Tanzania aidha wanawahi kuzee sana au wanajizee haraka sana [sio dhambi ni maoni huru na ndio maana halisi ya freedom of speech].
Sijanywa bia na sijalewa bia usiseme najishtukia sababu nakupandisha kisukari, msianze kusema hizi sasa ni bia maana hamchelewi. Sio bia na mimi leo sijagusa chupa kabisa. Ninaandika fact juu ya facts ndio hivyo kutelemsha material juu ya materialistic.
Sasa ni kwamba wanawake wengi wa Tanzania miaka 17 [huyu ni binti bomba] mali serikali bado hajavuka 18 ukimgusa ukabaianika umemgusa utalala nyuma ya milango ya gereza miaka 30 sio kidogo basi tuanzie na miaka 20 [tayari huyu hapa ni mwanamke] sasa miaka 20 tunaiita floor ya 2 tukimleta akapanda kutoka floor hio ya pili akakwea mpaka floor ya 3, anaanza kupungua uzuri na urembo unaanza kufubaa fubaa hivi unayeyukaa, akiendelea kupanda kutoka floor ya 3 akawa anaelekea floor 4 kabla hata hajafika floor ya 4 anakua kashachoka vibaya sana hata kupanda hizo ngazi. Hapo nisieleweke vibaya ila alienielewa ameshanielewa.
Naomba tuelewane ninapozungumzia wanawake warembo waliopo Tanzania siwazungumzii wale waliopo floor ya 4 [miaka 40] au waliovuka floor ya 4 kuelekea floor ya 5 [miaka 50], hapana ila nawazungumzia waliopo chini ya floor ya 4 kuelekea floor ya 3 mpaka floor ya 2, hapo katikati ya floor ya 2 na floor ya 3 ndio kuna wanawake warembo sana [km upo humu na upo hapo jipigie makofi sema Ameena kubwa ama kwa hakika wewe ni mrembo].
Sasa tutoke hapo wapo wanawake warembo hata wanapofika 50 basi anaonekana km yupo 30 something au anakaribia 40 kumbe kashatembea kilometers kibao ila ni wachache kwenye 10 utapata mmoja au unaweza usimpate kaabisa.
Mwisho nipende kusema pongezi zote ziende kwa wanawake warembo wazuri wanaotulelea watoto wazuri mpaka tunasifika kua na wanawake wazuri such a beautiful country in a beautiful world with a beautiful women. Usije kujifanya unaanza kukagua kingereza wakati wewe ni mwalimu wa Mathematics acha kua hivyo.
NB: Tufadhari sana ndugu ukipita hapa kwenye huu uzi jitahidi kuvua viatu usije ukachafua uzi.