Thanks Arushaone kwa kunipigania.

Thanks Arushaone kwa kunipigania.

Nimetoka kwenye tumbo la mama.
Nimefundwa nikafundika.
Plus na kitchen party ndo kabsaaa...
Langu jicho, mkono na shavu langu.

ndio! Najua kuwa, ulitoka kwenye tumbo la MAMBA
ukapewa kifungo cha ban UKAFUNGIKA
Plus na kitchen party ndiyo kabisaa unaunguza mwamke wewe

pole ziwaendee waume zako wote na pongezi ziwaendee wachumba zangu wote kwakuwa na lady wa ukwee..!

Hahahahahahaaa....... Hivi bado tunapimana mbavu tu? lol!
 
Madame B siyo kukudisi ilikuwa ni visifa kibao kibao kwako
si unajua tena vyungu vikikaa pamoja ni lazima kuwa na msuguano fulani
lakini all in all hakuna mbaya, mimi penda wewe tu bhana.
Asante shori.
Afu niliona mida flani wewe Mamndenyi na shoga'ako AmKATRINA mkini diss.
Nimewabamba.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Sasa hivi sitaki umjue hata mume wangu
nakujua lazima utapita juu kwa juu kama ulivyopita kwa Arushaone na kwa Mr Rocky na kwa wengine ambao unawajua hata wewe mwenyewe.
Hapa utapewa tu kadi ya mwaliko hata ya mchango wa harusi hautapewa kabisa,
Ana uhuni wowote.
Hv bado uko na kaka Mwita Maranya na Binamu yangu mtamu nyama ya hamu Mr Rocky!
 
Last edited by a moderator:
ndio! Najua kuwa, ulitoka kwenye tumbo la MAMBA
ukapewa kifungo cha ban UKAFUNGIKA
Plus na kitchen party ndiyo kabisaa unaunguza mwamke wewe

pole ziwaendee waume zako wote na pongezi ziwaendee wachumba zangu wote kwakuwa na lady wa ukwee..!

Hahahahahahaaa....... Hivi bado tunapimana mbavu tu? lol!

Ndo mana yake.
 
Back
Top Bottom