Habari Wana jamii health
Mwenzi uliopita nilikutana nawanamke kimwili nabaada ya 4day nilijihisi nina dalili za urinary infection nakuamua kwenda kupima nae.
Majibu kwa upandewake yalikua 100 na zaidi lakini Mimi nilikua na infection 55. (Tuliachana kilamtu na maishayake) tulipatiwa dawa ila kwaupandewangu nilichwa sindano pamoja na kupewa doz ya cypro.
Nikimaliza doz ila sikuona mabadiliko yeyote nikaamua kurud hsp wakanipima tena nakuniambia inaonekana imezidi kuongezeka sana badala ya kupunguza hvyo nikafanye kipimo Cha culture hospital nyingine.
Majibu baada ya kipimo Cha culture nikwamba sina infection yeyote na niliwashauri warudie tena kupima kawaida nawakarudia wakasema sina infection yeyote ila kwa upande wangu
Hali inaizidi kuongezeka maumivu wakat wakukojoa, kutoka na uchafu mweupe wakati wahasubuhi nikiwa nimeamka au kama nimekaa mdaa bila kwenda hajandogo uchafu unakwepo,maumivu kwenye kibofu mpaka mdamwingine naweza shindwa kutembea.
Naombeni ushauri nifanyaje sababu nimeambiwa maji ya vipimo niposawa siumwi ila kwahali niliyonayo Mimi naumwa
🙏🙏🙏🙏