Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 754
- 3,097
Rais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
Huyu alipaswa kufukuzwa na kushitakiwaBiswalo Mganga!
Hakuna pesa ya kupeleka kwenye miradi ndiyo anaitafuta, huyo alikuwa anazindua mpaka barabara ambazo zilizinduliwa na Mkapa asee.Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Mkurugenzi wa Mashtaka ambaye anatoa mchango mkubwa katika kusimamia haki jinai.Kwa mujibu wa Ibara ya 59B ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, Mkurugenzi wa Mashtaka amepewa uwezo na mamlaka ya kusimamia uendeshaji wa mashtaka yote ya jinai katika Mahakama zote isipokuwa mahakama za kijeshi.Kwa msingi huo, Mkurugenzi wa Mashtaka ana uwezo wa kufungua, kuendesha na kusimamia mashtaka yote ya jinai nchini.Kutokana na Ibara hiyo ya Katiba, Mamlaka aliyopewa Mkurugenzi wa Mashtaka hayamhusu mtu mwingine yoyote au mamlaka nyingine na hawajibiki kusimamiwa na mtu mwingine yoyote au mamlaka nyingine.Katika kutekeleza majukumu yake, Mkurugenzi wa Mashtaka anatakiwa kufuata kanuni zifuatazo:Kutenda haki; Kuzuia ukiukaji wa taratibu za kisheria; na maslahi ya umma.Nafasi hii imewekwa chini ya kifungu cha 8 cha Sheria ya Taifa ya Mashtaka, Sura ya 430.
Safari mbili tu za mama zinakuwa nongwa?! Kusingekuwa na Corona duniani, mama angewakomesha, nyie wafiwa!Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Hakuna pesa ya kupeleka kwenye miradi ndiyo anaitafuta, huyo alikuwa anazindua mpaka barabara ambazo zilizinduliwa na Mkapa asee
Kuteua na kutumbua nadhani 'mungu' wako bado anaongoza, usiseme kabisa hii ndio kazi mama anayoweza! Sasa ulitakaje, muda wa majaji umeisha akae tu asiteue majaji?Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM
Mama anapiga chini misxkxle karibu yote ya mwendazake. Safi sana.Biswalo Mganga!
DPP wamemtoa Mganga outBiswalo Mganga!
Muhimu ampishe mwingine ofisini.DPP siku zote akitaka kuondolewa ni kumpandisha awe jaji, DPP cheo kina kinga kikatiba.
Tusubiri uteuzi wa DCs na RCs tushuhudie jambazi La kule hai Bwana sabaya liteuliwe kwenda kuendeleza ujambazi wake, hatutaliacha salamaRais Samia amefanya teuzi za Majaji wa Mahakama wa Rufani, Mahakama Kuu na Kumwongezea muda Jaji Mahakama ya Rufani.
Mkikazana anaweza akarudi, maana wapo walioomba aondolewe wakasikiwa.Bi Mkubwa ndiyo kazi pekee anaweza labda na kusafirisafiri -- ila kwenda kukagua miradi ya maendeleo anaona karaha. ^Ilikuwa Dkt Mwinyi ndiye awe Makamo wangu^ JPM