acheni kutisha watu.....MBONA NYIE JF NI COVERAGE YA SLAA PEKE YAKE........! na wengine hawalalami.......! mliwaalika huko mikutano yenu mingine? au mjuacho ni kupinga tu....! TBC wameonyesha slaa akizungumza.....MLITAKA WAONESHE KITU KIPI? SI MUONESHE KWENYE MEDIA ZENU NAMNA MNAVYOTAKA IONEKANE!..........!

28.-(1) The candidate for the Office of the President in
an election shall have the right to utilize the Government
broadcasting service and television during the election campaign,
in accordance with the provisions of the National Elections Act.
(2) The Government media shall include in their
publications information related to the electoral process without
bias and such publication shall not tamper with information or
discriminate against any candidate.
acheni kutisha watu.....MBONA NYIE JF NI COVERAGE YA SLAA PEKE YAKE........! na wengine hawalalami.......! mliwaalika huko mikutano yenu mingine? au mjuacho ni kupinga tu....! TBC wameonyesha slaa akizungumza.....MLITAKA WAONESHE KITU KIPI? SI MUONESHE KWENYE MEDIA ZENU NAMNA MNAVYOTAKA IONEKANE!..........!
lakini kama wewe humtangazi chaguo lako nani unategemea akutangazie? umefungiwa kutoa chepuo lako hapa? alaa!! huwezi fananisha TBC1 na Jamii Forumsacheni kutisha watu.....MBONA NYIE JF NI COVERAGE YA SLAA PEKE YAKE........! na wengine hawalalami.......! mliwaalika huko mikutano yenu mingine? au mjuacho ni kupinga tu....! TBC wameonyesha slaa akizungumza.....MLITAKA WAONESHE KITU KIPI? SI MUONESHE KWENYE MEDIA ZENU NAMNA MNAVYOTAKA IONEKANE!..........!
acheni kutisha watu.....MBONA NYIE JF NI COVERAGE YA SLAA PEKE YAKE........! na wengine hawalalami.......! mliwaalika huko mikutano yenu mingine? au mjuacho ni kupinga tu....! TBC wameonyesha slaa akizungumza.....MLITAKA WAONESHE KITU KIPI? SI MUONESHE KWENYE MEDIA ZENU NAMNA MNAVYOTAKA IONEKANE!..........!
...............haiendani na mtu asiyejua mahesabuMahesabu,
Naomba ubadilishe avatar yako. Haiendani na mtazamo wako.
Marilia Suguacheni kutisha watu.....MBONA NYIE JF NI COVERAGE YA SLAA PEKE YAKE........! na wengine hawalalami.......! mliwaalika huko mikutano yenu mingine? au mjuacho ni kupinga tu....! TBC wameonyesha slaa akizungumza.....MLITAKA WAONESHE KITU KIPI? SI MUONESHE KWENYE MEDIA ZENU NAMNA MNAVYOTAKA IONEKANE!..........!
acheni kutisha watu.....MBONA NYIE JF NI COVERAGE YA SLAA PEKE YAKE........! na wengine hawalalami.......! mliwaalika huko mikutano yenu mingine? au mjuacho ni kupinga tu....! TBC wameonyesha slaa akizungumza.....MLITAKA WAONESHE KITU KIPI? SI MUONESHE KWENYE MEDIA ZENU NAMNA MNAVYOTAKA IONEKANE!..........!
RE-READ my statement.........! no mention of CCM there.....! niko makini kwa kila tab ninayo gandamiza guys.........! mzee mwanakijiji you said it......!THANX....!
BACK TO THE POINT.......WHY COMPLAIN TOO MUCH WHILE THE FOOTAGE WAS THERE.....! HOW DO YOU WANT THE FOOTAGE TO BE?
Tangu Dk Slaa ateuliwe kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA na harakati zake za kusaka wadhamini mikoani magazeti na vyombo vingine vya habari vimekuwa vikiripoti sana juu ya ziara ya kusaka wadhamini. Televisheni ya ITV nayo imejitahidi sana kufuatilia na kurusha mikutano ya Dk Slaa.
Nimejaribu kufuatilia coverage ya TBC1 kuhusu ziara na mikutano ya Dk Slaa mikoani na kwa wiki hii TBC 1 leo ndo wameirusha ziara na mkutano wa Dk Slaa uliofanyika Dar es salaam. Tofauti na ITV ambao wao hurusha mikutano ya Dk Slaa katika taarifa zao za habari za usiku wakituletea hata umati wa watu wanaomsikiliza, TBC 1 wamemtoa yeye tu Dk Slaa kama kwenye picha ya paspoti saizi! Wanaogopa kuvuta umati wa watu wanaokusanyika kwenye mikoutano hiyo.
Hii imenisikitisha sana maana leo (baada ya ziara ya Dk Slaa hapo Dar) ndio wameweza kuturushia habari yake (tena bila wtu waliokusanyika kumsikiliza!). Je, TBC1 wanatumikia Watanzania kweli au wnawatumuikia Watawala?
Chonde Tido Mhando, kuminya habari za Dk Slaa katika chombo cha umma, kinachoendeshwa na kodi zetu ni ukandamizaji dhidi ya haki zetu za kupata habari.
RE-READ my statement.........! no mention of CCM there.....! niko makini kwa kila tab ninayo gandamiza guys.........! mzee mwanakijiji you said it......!THANX....!
BACK TO THE POINT.......WHY COMPLAIN TOO MUCH WHILE THE FOOTAGE WAS THERE.....! HOW DO YOU WANT THE FOOTAGE TO BE?
acheni kutisha watu.....MBONA NYIE JF NI COVERAGE YA SLAA PEKE YAKE........! na wengine hawalalami.......! mliwaalika huko mikutano yenu mingine? au mjuacho ni kupinga tu....! TBC wameonyesha slaa akizungumza.....MLITAKA WAONESHE KITU KIPI? SI MUONESHE KWENYE MEDIA ZENU NAMNA MNAVYOTAKA IONEKANE!..........!
Yaani na wewe utaajita ni katu watu wanaofikiri na kujua mambo kwa uchambuzi yakinifu??? Wajua jinsi gani JF inavyoendeshwa na ni jinsi gani TBC inavyoendeshwa??? Hopeless kabisa.acheni kutisha watu.....MBONA NYIE JF NI COVERAGE YA SLAA PEKE YAKE........! na wengine hawalalami.......! mliwaalika huko mikutano yenu mingine? au mjuacho ni kupinga tu....! TBC wameonyesha slaa akizungumza.....MLITAKA WAONESHE KITU KIPI? SI MUONESHE KWENYE MEDIA ZENU NAMNA MNAVYOTAKA IONEKANE!..........!