Sometimes nikisoma maoni yawachangiaji, nasikitika kuwa tunajadili watu badala ya facts. Mtoa hoja amezungumza kuhusu coverage, vyombo vya habari vya umma havipashwi kumpendelea mgombea mmoja na kumkandamiza mwingine, hilo halikubaliki, hata makubaliano yaliyosainiwa na vyama vya siasa na tume ya uchaguzi yanasisitiza fairness kwenye coverage ya mikutano ya kampeni.
TBC1 watajitetea kuwa kampeni hazijaanza lakini hata JK alivyochukua fomu na kurudisha alipewa coverage kubwa sana, hivyo hawawezi kukuwepa lawama. Lakini na sisi wana JF, tusiderail mada kwa sababu mchangiaji mmoja ametoa uchafu, cha misngi ni kutokucoment comment ambayo si ya msingi katika mada husika. Kama tukishindwa kufanya hivyo utaonekana kama watu wenye simple mind wanadiscuss people