Patrick Nyemela
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 332
- 28
TIDO ameleta mapinduzi makubwa sana TBC, sasa hivi ukitaka kupata habari za uhakika ni TBC. Rostam alitoa pesa ili kipindi chake kiende hewani kosa la TBC liko wapi? Je ulitaka tuendelee kumuona bwana Mengi akiendelea kuwachafua wenzake katika vyombo vyake vya habari?
Tuache propaganda za mengi za kutafuta opportunities kwa kujionyesha yeye msafi zaidi ya wengine. Mkuchika na Sophia Simba wamemkumbusha kufuata ethics za vyombo vya habari. Hatuoni wamiliki wa DTV, Channel 10, startv wakitumia hovyo vyombo vyao vya habari kumchafua mtu.
''Ukiwa unaishi katika nyumba ya vioo usiwatupie mawe wenzio kwani wewe ndiye utapata hasara"