TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

MARIN alikuwa anataka kurusha namna BOB MAKANI alivyoanguka...WAKAMSULUBU....JF BWANA.....oooh sorry chadema bwana...!
 
Jamani hakuna uhuru usio na mipaka. Ni vizuri kupunguza jazba unapopanda Jukwaani.

Kwani ikitokea Aliyetajwa jina anakwenda mahakamani basi na chombo kilichotangaza au kuonyesha basi nacho kinaburuzwa mahakamani.

Basi TBC hawalitaki hilo.[/QUOTE]

Unapoleta madai kwa niaba ya TBC kuwa hawataki kuburuzwa mahakamani, kwani mwanasheria wa TBC halipwi mshahara? Hizo ndio kazi zake...changanya na zako...
 
Kweli nimeamini Chadema si chama cha siasa bali ni chama cha fujo,ugonvi,pupa,ujinga n.k Yaani hawana tofauti na Lord Resistancy Army wa Uganda au Al-Shababy wa Somalia.Ovyooooo
Kumbukizi ya kura ya maoni ccm 2010. unadhani watu hao ni wastaarab kama unavyojaribu kuwajenga hapa?
Mnamnyima mtu uraia kana kwamba ninyi ndo DOLA. Hakuna vurugu mbaya kama ukaburu wa CCM ikitumia vyombo vya DOLA.

Unajua kwamba sisi wote wenye fikra mbadala tumeshafunguliwa mafile yetu USALAMA? i mean tunachunguzwa ili siku wakiamua wanatushukia kama mwewe. Sasa ndo uniambie kuna amani hapo kweli?
 
Pengo waliokuwa wakifanya fujo nchi nzima na kukatisha shughuli za watu wengine si ni wananchama wa ccm baada ya kuibina kura katika uchaguzi wa kura za maoni. Umeshau jinsi nchi nzima ilivyolindima kwa fuja na maandamano kila pembe hadi masoko ya hisa yakashuka. Ile ya jana ni peoples power, matokeo yake si umeona mtanzania walivyoweka mambo safi.
 
Jamani hakuna uhuru usio na mipaka. Ni vizuri kupunguza jazba unapopanda Jukwaani.

Kwani ikitokea Aliyetajwa jina anakwenda mahakamani basi na chombo kilichotangaza au kuonyesha basi nacho kinaburuzwa mahakamani.

Basi TBC hawalitaki hilo.

TBC ni watumishi wa wananchi. Wamechemsha na wasipojifunza wataumia
 
Tukio la kutaka kushishikishwa adabu kwa Waandishi wa TBC jana limeashiria kuwa Wasipokuwa makini Siku moja Watanzania Watawafunza Adabu..Kituo cha Watanzania leo hii mzuie watanzania kupata habari...!Habari za Ufusadi kwa TBC ni kukashifu watu...poa waache waendelee then Siku moja Gari litachomwa moto na waandishi watauawa..!
View attachment 12993
Kuna tatizo hapa, haiwezekani watu kusifia kupigwa waandishi! Ni rekodi mbaya saana kwa Taifa letu. Tutafute njia muafaka ya kuaddress grievances zetu na si kupiga waandishi. Ni uhuni huu.
 
Kweli nimeamini Chadema si chama cha siasa bali ni chama cha fujo,ugonvi,pupa,ujinga n.k Yaani hawana tofauti na Lord Resistancy Army wa Uganda au Al-Shababy wa Somalia.Ovyooooo

Bange ni bangue nipate akili
 
yaani mura mambo jana marini an gepewa tarime ya kufa mtu nasikitika jangwani haina mawe kwani watu wengine bila kupewa adabu mambo hayawezi kwenda vizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom