mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,835
- 106,038
hatariHii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.
Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.
Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.
Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!