kovidii
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 277
- 264
Kwa siku kadhaa kumekua na uadimikaji "feki" wa sukar hapa nchini,chanzo,au tatizo hili ni lack of leadership.nimesikitishwa sana na picha zinazosambaa mtandaon zikionesha wakaz wa manispaa ya morogoro wakipanga folen kwenye duka linalosadikiwa ni la mbunge wa morogoro mjin ili kujipatia bidhaa "adimu"ya sukari.kimsingi,na kimkakati nchi yetu haikupaswa kua na uhaba wa sukar,wala kuagiza sukar toka ng'ambo...mkoa wa morogoro pekee km viongoz wetu wangekua serious ungeweza kutosheleza mahtaj ya sukar kwa nchi yote hi(sizungumzii tpc,wala kagera sugar).
Kwanza ningependa ku-diklea intrest kwmba mm nna mashamba ya miwa ya sukar ktk bonde la kilombero.hd msimu wa mavuno wa mwaka2019-2020 unafungwa mnamo mwez February mwaka huu,kampuni ya sukar illovo group (makaburu)ilikua haijaweza kuvuna japo 50%ya miwa yote ya wakulima wa nje(outgrowers)tatizo likiwa ni udogo wa kiwanda kulingana na mashamba yaliyopo...imefikia hatua vyama vya msingi vya ushirika vya wakulima kuwazuia wakulima kuendelea kupanua mashamba yao kwa kigezo kwamba soko hakuna,(at the same time we have a shortage of sugar)ilhali serikali yetu imejinasibu kuinua/kuendeleza viwanda.
Kule kilombero wako wakulima wakubwa wenye uwezo wa kutengeneza sukar bila kusubir kiwanda/mwekezaj.ila tatizo lipo serikalin/sera zetu za kulinda wawekezaj.as we speak miwa ya wakulima imelala mashamban(mingine more than 2yrs)uwezo wa watu kutengeneza sukar upo,ila hatujui kaburu kaifanyaje serikali yetu... yaan kuhus uhaba wa sukar,na hali ilivyo ktk vijiji vya kolodeko,kidodi,ruhembe,ilundo,msindaz...
Mie roho inaniuma kwakweli.hapo sijazungumzia wakulima wa mtibwa,na mashamba mapya yaliyoko mbigili ambako uwekezaj wa kiwanda bdo ni kizungumkut,japo Kuna maelf ya ekar za miwa,na hakuna kiwanda,pia Kuna bagamoyo ambako mzee bakresa kawekeza maheka ya miwa ila uzalishaj wa sukar uko ktk hatua ya sintofaham.HONESTLY,IF KUNA MDAU YEYOTE MWENYE KIWANDA CHA SANITIZER HUM JF ANICHEK PM TUFANYE BIASHARA YA ETHARNOL ITOKAYO NA MIWA.
Sent using Jamii Forums mobile app