Tazama foleni hii ya wanunuzi wa sukari Morogoro. Juzi Waziri Bashungwa kapitishiwa bajeti ya hovyo iliyoungwa mkono na wanaccm wote Bungeni

Jana jioni nimecheka yaani tumejikuta watu km 5 hivi tunaingia tsn Supermarket tukanawa mikono vzr ile kuingia ndani wote tukajikuta tunaulizia kitu kimoja Sukari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni foleni ya wanaonunua sukari Morogoro mjini ndani ya duka la mbunge wao.

Kinachonikera zaidi juzi waziri wa viwanda na biashara kapitishiwa bajeti mbovu sana huku wabunge wa CCM pamoja na spika wakijikita kuishambulia Chadema.

Aidha hawa ni wanunuzi wa jumla. Unapata Corona na sukari halafu ukitoka hapo wanakuja watu wa serikali za mitaa wanataifisha.

Kishindo cha awamu ya tano kwelikweli!

hatari
bora tuhamie kwenye asali
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom