Tazama baadhi ya mapungufu yaliyojitokeza katika majina ya ajira za Ualimu yaliyotolewa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE lajirudia mara 196

Nchi hii ina ajira? nyie endeleeni kutapeliwa tu
 
"Everything happen for a reason" nilivoona hakuna serial number nilijiuliza sana(kwamba excel ya hao jamaa ilishindwa kabisa kuweka number jibu ni hapana haikushindwa then why?). Nikajipa kaz ya kuhesabu idadi kwa baadhi ya pages,wastani kila page ni kama watu 40,document ina page 196

40x196=7840( kumbuka kwenye kila page kuna jina moja limerudiwa ,haya twende,nacheka lakini naogopa)

7840-195(hizi ni nafasi hewa ambazo hazina watu ,mathematically)=7645

Ajira zilitangazwa 13,000(kama kumbukumbu zangu ziko sawa)

13000-7645=5355( sio mbaya eti hahaha)

5355 ,ni watu idadi kubwa(mathematically),,ila politically sio mbaya sana,,,,

Pengine wakuu kuna second batch (who knows).

Brothers and sisters outthere na wahusika wote wa kada husika waliopatana nafasi kongole kwao ,waliokosa msikate tamaa kesho yenu ipo hata kama sio kupitia taaluma zenu basi itapatikana kwa namna nyingine ,msichoke kupambana ndani na nje ya mfumo.asante
 
Hii nchi mambo hajawahi kuwa serious hata kidogo , mchakato mzima wa uombaji wa hizi ajira ulijaa matatizo kibao ,

Aya , baada ya mchakato ule watu toka mwezi wa tisa mbaka mwezi huu wa kumi na moja mwishoni walikaa wanasubilia wakiwa na hope kwamba watakapo release majina may be matatizo madogo madogo hayatakuwepo ukirejea na muda waliotumia .
But , at the end of the day , huu ndyo upupu waliotuletea , kweli mtu kaomba eti degree kasoma basic mathematics na history ?. Hichi ni nini ?

Despite that , system ilitaka waombaji waorodheshe masoma mawili tu , but i have seen some of the dudes with more than two subjects . forget about that name that have been appeared several times . ukweli hii umeoneshe huko tamisemi kuna watu wa ovyo ovyo wasio kuwa makini na kazi wazifanyazo. Tuanzie huku Tamisemi Mfumo mzima huko tamisemi inabidi ufumuliwe , huku tamisemi inaelekea kuna wapumbavu wengi sana wanaotuharibia kazi na kuharibu juhudi za mheshimiwa raisi.


Mwisho , niseme tu kama taifa lisije kaa likafikiria kuwa vijana watakuja kaa eti wajegenge upendo na uzalendo na nchi hii kutoka na mambo ya ovyo ovyo kama haya yanayofanyika . maana kada ya ualimu ni kada inayogusa vijana wengi toka familia za chini hivyo kutokana na mambo haya wanyonge wengi wameumizwa .
 
Convert PDF to excel weka serial number utapata 8195 ukitoa 195 ya Abdalah = 8000
Maana yake kuna awamu ya pili ya watu 5000 kuweni na subira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…