Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,188
- 1,912
Acha utoto weweKichuguu bhana,kila nafsi itaonja umauti
Hivi hauna ndoto ya kuongoza malaika huko?
Acha utoto weweKichuguu bhana,kila nafsi itaonja umauti
Hivi hauna ndoto ya kuongoza malaika huko?
Kumbe ngosha mkuu alikua mtoto 🤣🤣🤣Acha utoto wewe
Acha utoto.Kumbe ngosha mkuu alikua mtoto
Naona muda huu atakua anawasimamia malaika kwenye ujenzi wa ukuta huko paradise
Lucifer anaongoza malaika 🤣🤣🤣Acha utoto.
Hiyo Hali ya kuficha magwanda ya kijani itajirudia tu,Kwa hawa kina January makamba na Nape,hawana ushawishi Tena kuipigia ccm kura.kwanza ni wanafiki,matapeli,na haeleweki wanasimamia kipi,wanajali matumbo Yao tu,Huyu Nape si ndo walitufanya sisi wa CCM tuwe tunaficha mpaka magwanda yetu kukwepa kutukanwa.
Leo anahoji?