Isaac Chikoma
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 475
- 101
tafuta dawa ya allergy kama cetrizine,tumia uangalie,halafu kama una aina flani ya chakula umeaza kutumia hebu sitisha uchek matokeo.
tafuta dawa ya allergy kama cetrizine,tumia uangalie,halafu kama una aina flani ya chakula umeaza kutumia hebu sitisha uchek matokeo.
jamani nimekua naumwa ugonjwa ambao umenitesa kwa muda sana, nimekua nawashwa sana sehemu za makalio na mapaja, hata sehemu za mwili nyingine. pia hii hali ipo kwa maifu wangu. nilitumia dawa ya scabies (Scaboma) lakin hakuna hauweni... sijui kama ni ugonjwa wa zinaa au vip.... msaada jamani, nifanyeje?
Ooh lord, scabies?! Pole sana. Mnahitaji kumuona dr wa ngozi, wote wawili wewe na mkeo. Lakini mnapopata matibabu, muanze kwa pamoja. Msisahau kufanya usafi wa haja nyumbani kwenu, hasa kwenye matandiko, godoro na nguo zenu. Fua nguo kwa maji ya moto, piga pasi ndani na nje.
Mara ya mwisho ulibadili godoro lini? Labda ujinunulie godoro jipya na la zamani ulianike. Kama kitanda chako ni cha mbao nacho ukidismantle na kukianika. Ikiwezekana ufanye na fumigation nyumbani kwenu. Haya yote ufanye baada ya kyanza matibabu rasmi. Pole sana
Ikiwa scabies unatakiwa utibu familia yako yote, pia angalia mikono. Vinginevyo jaribu kudilute teatree oil katika lotion au sabuni ya kuogea. Unaweza tumia pia majani ya muarobaini yasage na paka sehemu unazosumbuliwa subiri muda kabla ya kwenda kuoga.

Tatizo bacteria wanaoishi kwenye ngozi. Nina uhakika pia ukitokwa na jasho tatizo hilo linajitokeza pia. Tafuta prickly heat powder au tumia antibacterial soap. Msimu wa joto mwasho unaongezeka! Pole.