Msaada: Nasumbuliwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara

TyterBanks

New Member
Jan 10, 2024
1
2
Ndugu wana jamii forum ni matumaini yangu kua mu bukheri wa afya.

Sasa ndugu zangu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara pasipo maumivu yoyote isipo kuna hali fulani hivi ya kuvimba upande wa kushoto pindi napo taka kukojoa ma kabla ya kukojoa. Na sikwamba nakunywa maji mara kwa mara lahashaa ni vile hali inanitokea tu.

Je, ni kweli ni shida ya kibofu au figo?

So kama kuna madaktari tusaidiane kujua tatizo, coz nshaenda hospital pasi mafanikio yoyote
 
una miaka mingapi? if old age ni tezi dume beginning trouble. see a urologist
 
Ndugu wana jamii forum ni matumaini yangu kua mu bukheri wa afya.

Sasa ndugu zangu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kukojoa mara kwa mara pasipo maumivu yoyote isipo kuna hali fulani hivi ya kuvimba upande wa kushoto pindi napo taka kukojoa ma kabla ya kukojoa. Na sikwamba nakunywa maji mara kwa mara lahashaa ni vile hali inanitokea tu.

Je, ni kweli ni shida ya kibofu au figo?

So kama kuna madaktari tusaidiane kujua tatizo, coz nshaenda hospital pasi mafanikio yoyote
Nenda kapime figo , kisukari na tezi dume kisha uje hapa utupe mrejesho wako uguwa pole.
 
Back
Top Bottom