Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

Yaani hili tatzo mimi limenianza juzi juzi tu ,na hii ilinitokea baada ya kuhama nyumba a kwenda b mtaa huu huu, sasa kinachonishangaza nikwamba nilikuwa nimelala mchana, nikaamka, nikapiga mswaki nikaosha na uso , baada ya hapo macho yakaanza kuvimba taratiibu ,hadi shingoni pakavimba, nikaenda kwa doctor akanipa dawa ya allergy nijameza nikaendelea poa, sasa niliogopa kuoga hapo tena nilipohamia, nikaenda kwa rafiki yangu nikaoga huko, ila kesho yake nikaamka niko sawa, nikaoga kwangu asubuhi, ile natoka tu baada ya kuvaa nguo, niaanza kuwashwa tumbo pembeni mwa kitovu, hadi uvimbe unatokea kabisaa mixer kuwashwa mwili mzima, sasa juzi nikaoga kwa rafki yangu sikuwashwa mwili, leo asubuh nimeoga kwangu tena nawashwa mwili hatari mara shingo inakuwa nyekundu inaviuvimbe uvimbe kama vipele ivi,
Sasa mimi hapa nahisi ni maji, haya najiuliza haya maji yako tofauti? Kama mtaa ni mmoja mkoa ni mmoja maji yakuwa tofauti?
hama
 
Back
Top Bottom