Nami nimepatwa na tatizo kama hili kuwashwa sanaa nyakati za usiku mapakanii hasaa...dear all...
nina hali ya kuwashwa mwili sehem tofauti tofauti na kwa vipindi tofauti....hasa usiku..nimeende hospitalini nikapewa dawa ya vidonge na ya kupaka...ila bado sioni nafuu...kwa sasa nawashwa sana mapajani,kifuani pembeni na sehem ya mapajani...japo baadae muwasho waweza kuhamia sehem nyingine...naomba mnisaidie
Umepima ukimwi?Nami nimepatwa na tatizo kama hili kuwashwa sanaa nyakati za usiku mapakanii hasaa...
Nilijua niko peke yangu na imenitokea miaka mingi sana hadi nimepuuza ila uchunguzi wangu umebaini nikioga maji baridi nawashwa zaidi,jasho likitoka afu likakaukia mwilini nikachelewa kuoga ntakapooga mwili unawasha na nikichukua zaidi ya siku mbili sijaonani tatizo ambalo limejitokeza kwangu takribani miaka mitatu iliyopita hadi sasa! mara tu nimalizapo kuoga ninaanza kuwashwa mwili mzima kwa muda usiozidi dakika 15 na wakati mwingine unapojikuna vipele vidogovidogo hutokea. tatizo hili linaninyima raha mno kwa anaefahamu dawa anisaidie na pia si mbaya kama utanieleza chanzo cha tatizo.
Na mm nimo mkuu na miaka mingi sasa toka limenikumba but nilisha ignore ila kuoga maji ya moto na jasho likitoka before halijakauka mwilini kaoge na pia jasho likitoka usilale bila kuogani tatizo ambalo limejitokeza kwangu takribani miaka mitatu iliyopita hadi sasa! mara tu nimalizapo kuoga ninaanza kuwashwa mwili mzima kwa muda usiozidi dakika 15 na wakati mwingine unapojikuna vipele vidogovidogo hutokea. tatizo hili linaninyima raha mno kwa anaefahamu dawa anisaidie na pia si mbaya kama utanieleza chanzo cha tatizo.
Kama bada hujapona.dear all...
nina hali ya kuwashwa mwili sehem tofauti tofauti na kwa vipindi tofauti....hasa usiku..nimeende hospitalini nikapewa dawa ya vidonge na ya kupaka...ila bado sioni nafuu...kwa sasa nawashwa sana mapajani,kifuani pembeni na sehem ya mapajani...japo baadae muwasho waweza kuhamia sehem nyingine...naomba mnisaidie
Kiongozi unataka kusema nini juu ya ndugu. Mie ninaye ila nawashwa sana. Basi kama una solution Naombawote mnaowashwa je mna ndugu yeyote mwenye asthma kwenye koo zenu
Asante kakaDaaah pole sana mkuu mungu akuponye
yess BiShoo haswaaAaa