Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

Umewahi kutumia aina yeyote ya kilevi(usinitajie hicho kilevi) na kuamua kubadilisha au kuacha kutumia ghafla?
Ndiyoo nilishawah kutumia kilevi na ilikuwa ni kama mara tatu tokea nizaliwe tena katika nyakati tofauti. Nakumbuka mara ya mwisho ni mwaka jana mwezi wa 10 sijatumia tena mpaka sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa experience niliyonayo Mimi kwenye sekta ya afya, ninaweza nikasema kuwa pengine una allergic reaction na kitu Fulani. Kinaweza kikawa ni chakula, Hali ya hewa au pia dawa ulizokuwa ukitumia.

Jaribu kukaa chini kujitathmini ni Nini ulikifanya katika hivyo nilivyoorodhesha kabla ya kilitokea Hali ulivyokuwa nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa experience niliyonayo Mimi kwenye sekta ya afya.........nnaweza nikasema kuwa pengine una allergic reaction na kitu Fulani...
Kinaweza kikawa ni chakula, Hali ya hewa au pia dawa ulizokuwa ukitumia.
Jaribu kukaa chini kujitathmini ni Nini ulikifanya katika hivyo nilivyoorodhesha kabla ya kilitokea Hali ulivyokuwa nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru nitalifanyia kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ugonjwa wanauita scabies (kama nimekosea jina nirekebishwe) huu ulitusumbua saana tukiwa boarding school! Ni wa kuwashwa mnooo, afu unaambukiza!!

Nakumbuka kuna dawa inaitwa color mine ilinitibu
 
Inaelekea kuna nguo za ndani unazovaa zinakuletea hiyo shida, hebu jaribu kuzifanyia uchunguzi aseee.....mara nyingi ni nguo za mtumba au zinatengenezwa na material flani inayokuletea skin reaction.
 
Inaelekea kuna nguo za ndani unazovaa zinakuletea hiyo shida, hebu jaribu kuzifanyia uchunguzi aseee.....mara nyingi ni nguo za mtumba au zinatengenezwa na material flani inayokuletea skin reaction.
Kweli ngoja nifatilie.ila sio mwili mzima
 
Back
Top Bottom