airwing
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 306
- 397
Kwahiyo unachanganya detto kwny maji ya kuogea au? Cjakuelewa maana mm nikimaliza kuoga nawashwa mwil mzm kama 15 HV na nikiloa hata na mvua napat shida nyakati za uck nwakuwa nawashwa sana 0657230355 nipo Dar tunaweza kuwasiianaNilikua nalo.nikatumia deto na kunyoa nywele
Nilikua nikitembea pia juani nawashwa
Ila toka nimenyoa na kutumia detto nipo safi
Sent using Jamii Forums mobile app