Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

OCD ndie atazipeleka Idara ya Usalama wa Taifa Wilaya. Wao watazipitia na watakupigia kukuhoji mawili matatu. Wakimaliza wanazirudisha kwa OCD.OCD na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya watakuita kwa mahojiano. Kutoka ulipoziacha kwa OCD mpaka upigiwe simu na Usalama wa Taifa inachukua kama miezi 3.

Hivi wanaruhusu kumiliki hadi Ak-47 ?

Na kwa Mfano nataka nimiliki silaha ila sijui kuitumia, kuna labda kitengo cha polisi cha kutoa mafunzo au unajifunza vipi?

your help mkuu..
 
Usisumbuke na mzunguko huo,nunua siraha weka ndani basi,hiyo mikutano ya kukujadili ndipo wabaya wako watafahamu una siraha aina gani,siku wanakuvamia itakuwa rahisi sana. Kuna jamaa anazitengeneza Kwa 50,000/= tena ukija na chupa la gongo anaweza kukuuzia hata ya mteja wake aliyechelewa kuifuata. Ukikamatwa usinitaje kuwa Ng'wanapagi alinipotosha kwani inatakiwa usiwe na ugomvi na mke wako la sivyo ukimzigua anapeleka ripoti polisi hapo ndipo utakoma kupenda vitu vya karibu na bure.
 
Anatengeneza silaha gani?
 
hahahahahaaa
 
Silaha pesa, bunduki mzigo! Namna ya kumiliki silaha (pesa) kihalali ni kujishughulisha na shughuli ya uzalishaji mali kama kuongeza thamani malighafi au kuajiriwa!
 
Mbona vijana wengi wanazo hapa mjini ..wanafuata huo mlolongo wote au kuna 'shortcut'?
 
KWA kifupi ni zoezi linaloweza kuchukua kati ya miezi 9 mpaka miezi 12.KAMA UNA swali uliza

Asante sana kwa maelezo safi kabisa. Utaratibu upoje kwa mtu aliye nje ya TZ na anataka kurudi na Pistol home (assume ameinunulia mtaani na hana appropriate paper work)
 
Mkuu Consultant,ninachofahamu ni kwamba kama umeinunua nje ya nchi kihalali na unakuja nayo Tanzania,ukifika Airport hawatakuruhusu kupita nayo, utai-surrender pale kwa wahusika wa Ulinzi na Usalama. Kuna maelekezo ambayo utapewa na kuja kuyafanyia kazi kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama kisha ukikamilisha ndio utakabidhiwa silaha yako. Inachukua muda kidogo mpaka kupewa kwani nao itabidi wa-confirm na idara husika za huko ulikotoka nayo ili kujiridhisha. Sasa hiyo ni Silaha unayoimiliki kihalali kutoka nje mlolongo unakuwa hivyo,sasa ukija na yako ya magumashi isiyo na document jibu nadhani utakuwa umeshalipata kuwa itakuwa ni ngumu kupita nayo kwa taratibu za kawaida,labda nayo upite nayo kimagumashi
 
Back
Top Bottom