Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

najua kinachofanya watu wengi wadai picha au utambulisho wa marehemu ni tatizo la kisaikolojia zaidi (aina ya ugonjwa wa akili) na siyo kuwa wamehuzunika sana. Haya ndiyo madhara ya kukulia sehemu duni kimaisha. Anyway ni somo refu na mimi sina muda wa kukuelewesha.

Hakuna lolote psychology my ass
 
Mimi nafikiri kujua taarifa zake kwa Id yake ni muhimu zaidi hapa JF kuliko jina lake halisi lengo ni kuthaminisha mchango na mawazo yake hapa JF lkn km taarifa itakuwa imelenga general public ndio muhimu kutumia jina lake halisi.
Hapa JF ukute ana marafiki au watu wanaomfuatilia (followers)wangependa Wajue na waungane na family ku Mourns!

Hapo ndo nlipokosea. Ndo basi tena. We jua kwa uhakika kabisa alikuwa mmoja wetu. Ila ID yake sitataja kwa kuwa nshataja jina.
Lakini kipi bora?? Kujua mhogo mchungu (JF ID ) amekufa au kujua amina ramadhan ( jina real la mhogo mchungu) amekufa??
 
Jamani nipate mchango Kwani me ni mama au mke wa marehemu?? Kuna mahali nimeomba hata Mia?? Kama marehemu mwenyewe akiwa hai hakupenda kuw verified why Mimi nifanye hivyo?? Asee ile familia ni tajiri haina shida hata na Mia ya mtu. Na Mimi Wala sio ndugu wa familia Bali ni rafiki tu.
NIKOME.
Si kwa kunyari huku Mrs Bishanga hiv na ww ni mhaya kama mmeo?
 
Innalillah wainna ilaihi raaj-ooon
sisi ni wa Allah na kwake ni wenye kurejea​

REST IN PEACE DUDE!!!
✊🏿✌🏿🙏🏿
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Tangulia brother[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Tutajie ID yake acha ubabaishaji

Au unataka kutupiga?

We nae na umasikini wako upigwe nn? Labda upigwe mavu...zi maana ndo pekee unamiliki....pamoja na kuuza ngada south bado umebaki teja. Njoo Uru baada ya mazishi round zinatembea shoo ikisimamiwa na Ansgar....najua humjui Ila raisi wako anamjua.

Nshakwambia Kule hakuna shida ya rambirambi we njoo na machozi yako na nauli yako ya daladala utakula na utalewa hadi utambae. Tunasherehekea maisha ya mwamba.
 
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwataarifu msiba wa mwana JF mwenzetu bwana Straton Mushi aliyefariki mapema wiki hii baada ya kuugua muda mfupi. Mwili wa marehemu uliagwa Jana nyumbani kwake Salasala Dar Es salaam na badae kusafirishwa kuelekea Moshi- Uru Mawela kanisani kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho jumamosi hapo hapo Mawela.

Marehemu atakumbukwa kwa upendo wake na harakati za kupigania haki bila kuogopa.

Poleni wana JF, wafanyakazi wote wa airtel na wanafamilia.

Kwa watakaoweza kwenda msibani Kama upo Moshi mjini Nenda stendi kuu panda magari yanaoenda uru halafu Shuka mawela kanisani hapo hapo kushoto kwako Ndio penye msiba. Kama unatumia usafiri binafsi basi ukifika Mawela kanisani ukiulizia kwenye msiba utaoneshwa bila wasiwasi.

Bwana alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe.

View attachment 1269118
Pole best
 
Inaonyesha alikua na noti

Ule ukoo pesa ipo sema ndo hivyo watoto wa Yule mama wanakufa Vifo vya ghafla. Inasikitisha. Kaka wa Straton alifariki akiwa amelala Tena baada ya uteuzi wa nafasi ya juu. Siku amefariki Ndio siku alikuwa anaenda kuripoti na dereva alishakuja kumfwata kumgongea ashavuta. Inasikitisha.
 
Back
Top Bottom