Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

Ndiyo huyo amewahi kuwa Boss wangu Airtel alikuwa zonal business manager wa southern highland kabla hajahamishiwa Dar.
01.JPG


Just googled the name, atakuwa ni huyu i guess
 
Ule ukoo pesa ipo sema ndo hivyo watoto wa Yule mama wanakufa Vifo vya ghafla. Inasikitisha. Kaka wa Straton alifariki akiwa amelala Tena baada ya uteuzi wa nafasi ya juu. Siku amefariki Ndio siku alikuwa anaenda kuripoti na dereva alishakuja kumfwata kumgongea ashavuta. Inasikitisha.
Watoke kidogo....Kalimanzira au sala
 
Hakuweka wazi ID yake ya JF hivyo ni vyema tuheshimu maamuzi yake.
Wewe umajuaje Kama ni mwana JF acha kuzusha habari.....wengine mnatumia jukwaa ndivyo sivyo....hakuwa mwana JF huyo ni ndugu yako unataka tu taarifa ifike kwa watu wengi
 
Hao wanaoandikwa hivyo ni miungu. Wa mbinguni anaandikwa hivi: "Mungu". Hata Dar es Salaam yenyewe haiandikwi dar es salaam, sembuse Mungu wa mbinguni? Na huyu ni Bwana na wala siyo bwana.
Pole wafiwa, mungu alitoa na mungu ametwaa, jina la bwana lihimidiwe
 
Hapo ndo nlipokosea. Ndo basi tena. We jua kwa uhakika kabisa alikuwa mmoja wetu. Ila ID yake sitataja kwa kuwa nshataja jina.
Lakini kipi bora?? Kujua mhogo mchungu (JF ID ) amekufa au kujua amina ramadhan ( jina real la mhogo mchungu) amekufa??
kwangu bora kujua mhogo mchungu (jf id) amefariki

ukintajia amina ramadhani unanchanganya tu.
 
Achnaaa na huyuu boyaaaa anahelaaa ??HATA za kununua mbegeee anahisii mbege n ile.pombeyaooo

Mwambie huyo anayeongelea habari za hela mbele ya wachaga. Wachaga nomaa. Me December ilinikuta uchagani nikajiuliza Hawa nao ni raia wa JPM au wana nchi Yao? Sherehe zinaanza December 15 kunywa na kuchinja non stop hadi January 5 au 7 kulingana na ratiba za kazi.
Same to misiba wanasherehekea as if hakuna kesho.

Shikamooni wachaga.

Tukubalini wachaga na wahaya wametuacha mbali.
 
Back
Top Bottom