TANZIA MwanaJF mwenzetu Erick Kalemela amefariki dunia

Ngariba1

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
1,702
3,454
Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.

Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama. Hadi sasa msiba uko nyumbani kwake/kwao Kahama.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.

Update 26.05.2022
Mwili wa member mwenzetu utawasili Dar es Salaam toka India tar 27.05.2022 saa 8 mchana. Baada ya hapo utawasili Mwanza saa 3 usiku kwa ndege ya ATCL.

Usiku huo huo utasafirishwa kwenda kwao/kwake Busulwangili-Kakora, Msalala DC, Wilaya ya Kahama kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika tar 28.05.2022 Jumamosi.
 
Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.

Mwili unatarajiwa kuwasili siku ya Alhamisi kwa ajili ya taratibu za mazishi yatakayofanyika kwao Kahama.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
RIP Kalemela
Picha pls
 
Apumzike kwa Amani
 
Back
Top Bottom