brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Hakuna sababu ya kutupa taarifa ya kifo chake kama hutaki kuitaja ID yake, na kama target yako kupata mchango hapa hupati kitu.
Picha yake nimeshaiweka. Cha muhimu ni kwamba alikuwa mwana JF mwenzetu na alishiriki sana kwenye siasa za upinzani pamoja na Akina mnyika , na wengineo .
Hakuna sababu ya kutupa taarifa ya kifo chake kama hutaki kuitaja ID yake, na kama target yako kupata mchango hapa hupati kitu.
Good.
But I can't buy or take it Yummy
Nilisoma naye SUA.
You meanAtakua ni yule JMushi mwenye picha ya 2pac nadhani!
Na speculate tu sina uhakika!
Jamani nipate mchango Kwani me ni mama au mke wa marehemu?? Kuna mahali nimeomba hata Mia?? Kama marehemu mwenyewe akiwa hai hakupenda kuw verified why Mimi nifanye hivyo?? Asee ile familia ni tajiri haina shida hata na Mia ya mtu. Na Mimi Wala sio ndugu wa familia Bali ni rafiki tu.
NIKOME.




Hebu nisaidieni. Kama hujui id yake wawezaje kujua kama kweli ni yeye marehemu.
Ungeweka id yake tujue alikua mshabiki wa ream A su Sisi a Kimara
Najua ID yake na sitaitaja.
Kanye boga Kama imekuuma sana.......Au njoo Uru tunywe mbege na bia za kutosha. Si unajua misiba ya wachaga.... maana umekomalia hadi basi.
Sikujibu Tena.