Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

Nakusalimia!
Wewe ukileta habari za SUA siwezi kubisha!
Huyu wamesema alisoma SUA na sio Mwanafunzi wa SUA


Is it a coincidence au?huwez amini nimkukumbuka km dk 20/hv aisee hii sio kawaida..nipe tu wine!🤒..haiwzekan nikakumbuka na ww umenetxt😅!line ya tigo imepotea..ngoja nikutumie airtel slim!😍
 
Kuna umuhimu mkuu. Kuna umuhimu kwa sababu ametoa Jina lake halisi na sehemu ya mazishi. Walio karibu watajua huyu ni member mwenzetu. Na walio mbali watatoa salam za rambirambi hapa hapa jukwaani. Kama mtu hakutaka kujianika akiwa hai basi anapofariki siyo vizuri kum'expose
Kumexpose kwa Id fake how??
 
Kumexpose kwa Id fake how??
najua kinachofanya watu wengi wadai picha au utambulisho wa marehemu ni tatizo la kisaikolojia zaidi (aina ya ugonjwa wa akili) na siyo kuwa wamehuzunika sana. Haya ndiyo madhara ya kukulia sehemu duni kimaisha. Anyway ni somo refu na mimi sina muda wa kukuelewesha.
 
Najua ID yake na sitaitaja.

Kanye boga Kama imekuuma sana.......Au njoo Uru tunywe mbege na bia za kutosha. Si unajua misiba ya wachaga.... maana umekomalia hadi basi.
Sikujibu Tena.
Mimi nipo ongoma
 
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwataarifu msiba wa mwana JF mwenzetu bwana Straton Mushi aliyefariki mapema wiki hii baada ya kuugua muda mfupi. Mwili wa marehemu uliagwa Jana nyumbani kwake Salasala Dar Es salaam na badae kusafirishwa kuelekea Moshi- Uru Mawela kanisani kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho jumamosi hapo hapo Mawela.

Marehemu atakumbukwa kwa upendo wake na harakati za kupigania haki bila kuogopa.

Poleni wana JF, wafanyakazi wote wa airtel na wanafamilia.

Kwa watakaoweza kwenda msibani Kama upo Moshi mjini Nenda stendi kuu panda magari yanaoenda uru halafu Shuka mawela kanisani hapo hapo kushoto kwako Ndio penye msiba. Kama unatumia usafiri binafsi basi ukifika Mawela kanisani ukiulizia kwenye msiba utaoneshwa bila wasiwasi.

Bwana alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe.

View attachment 1269118

Poleni wana JF wenzangu na Familia yake na ndugu kwa jumla.
 
Back
Top Bottom