Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

Jamani nipate mchango Kwani me ni mama au mke wa marehemu?? Kuna mahali nimeomba hata Mia?? Kama marehemu mwenyewe akiwa hai hakupenda kuw verified why Mimi nifanye hivyo?? Asee ile familia ni tajiri haina shida hata na Mia ya mtu. Na Mimi Wala sio ndugu wa familia Bali ni rafiki tu.
NIKOME.
Kuna wajuzi watakuja kutafakari. Kwanini Utajiri usiweze kuzuia kifo? Daaah Maisha ya duniani bure kabisa. Ni kama ambavyo hatumkumbuki tena Mengi #RIP
 
Back
Top Bottom