Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,050
- 9,668
Kujua ID ya JFHapo ndo nlipokosea. Ndo basi tena. We jua kwa uhakika kabisa alikuwa mmoja wetu. Ila ID yake sitataja kwa kuwa nshataja jina.
Lakini kipi bora?? Kujua mhogo mchungu (JF ID ) amekufa au kujua amina ramadhan ( jina real la mhogo mchungu) amekufa??
Maana tunatambuana kwa ID