Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

Hebu nisaidieni. Kama hujui id yake wawezaje kujua kama kweli ni yeye marehemu.
Ungeweka id yake tujue alikua mshabiki wa ream A su Sisi a Kimara

Hapo ndo nlipokosea. Ndo basi tena. We jua kwa uhakika kabisa alikuwa mmoja wetu. Ila ID yake sitataja kwa kuwa nshataja jina.
Lakini kipi bora?? Kujua mhogo mchungu (JF ID ) amekufa au kujua amina ramadhan ( jina real la mhogo mchungu) amekufa??
 
Wewe ni msemaji wa familia ya Marehemu ama ulianzisha tu uzi ili kuongeza idadi ya thread ambazo umewahi kuandika? Una baraka za familia kutangaza msiba huu? Tuweni na utu mambo mengine yanastahili kuwa personal unless familia iamue kuweka wazi!
 
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwataarifu msiba wa mwana JF mwenzetu bwana Straton Mushi aliyefariki mapema wiki hii baada ya kuugua muda mfupi. Mwili wa marehemu uliagwa Jana nyumbani kwake Salasala Dar Es salaam na badae kusafirishwa kuelekea Moshi- Uru Mawela kanisani kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho jumamosi hapo hapo Mawela.

Marehemu atakumbukwa kwa upendo wake na harakati za kupigania haki bila kuogopa.

Poleni wana JF, wafanyakazi wote wa airtel na wanafamilia.

Kwa watakaoweza kwenda msibani Kama upo Moshi mjini Nenda stendi kuu panda magari yanaoenda uru halafu Shuka mawela kanisani hapo hapo kushoto kwako Ndio penye msiba. Kama unatumia usafiri binafsi basi ukifika Mawela kanisani ukiulizia kwenye msiba utaoneshwa bila wasiwasi.

Bwana alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe.

View attachment 1269118

Nashukuru kutujuza.
POLENI SANA WANA JF na WNAFAMILIA KWA UJUMLA
 
Imeondolewa... Apumzike kwa amani.. Mbele yake... Nyuma yetu
Picha yake nimeshaiweka. Cha muhimu ni kwamba alikuwa mwana JF mwenzetu na alishiriki sana kwenye siasa za upinzani pamoja na Akina mnyika , na wengineo .
 
"COMRADE" apumzike salama, ameumaliza mwendo. Wafikishie salamu kina "Mw. Nyerere" na "Baba Karume" yale waliotukataza ya kuchagua vingozi wasiofaa ndio imekua mila/ibada ya CCM. Ila tutaendelea kusukuma bendera JF mpaka tutakapofikia kilele cha demokrasia.

Swali fikirishi, sisi tusiojulikana kwa ndugu/jamaa/marafiki kama tunatumia JamiiForums, siku tukivuta taarifa za vifo sijui vipi itawafikia humu wana harakati wa JF.
Mimi nitatoa taarifa zako nakuja
 
R.I.p
Screenshot_20191122-151007.png
 
Hapo ndo nlipokosea. Ndo basi tena. We jua kwa uhakika kabisa alikuwa mmoja wetu. Ila ID yake sitataja kwa kuwa nshataja jina.
Lakini kipi bora?? Kujua mhogo mchungu (JF ID ) amekufa au kujua amina ramadhan ( jina real la mhogo mchungu) amekufa??
Amekufa, kwani ng'ombe! Sema AMEFARIKI.
 
Back
Top Bottom