Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,183
- 5,715
Huyu jama hakusoma Tegeta secondary kweli?
Kuna mtu nilisoma naye aliyekuwa na jina la Straton Michael.
Kuna mtu nilisoma naye aliyekuwa na jina la Straton Michael.
Unaonekana we mbabaikaji sana......Mwambie huyo anayeongelea habari za hela mbele ya wachaga. Wachaga nomaa. Me December ilinikuta uchagani nikajiuliza Hawa nao ni raia wa JPM au wana nchi Yao? Sherehe zinaanza December 15 kunywa na kuchinja non stop hadi January 5 au 7 kulingana na ratiba za kazi.
Same to misiba wanasherehekea as if hakuna kesho.
Shikamooni wachaga.
Tukubalini wachaga na wahaya wametuacha mbali.
Basi yaishe.....Mrangi ujue nakuheshimu. Sipendi nikukosee adabu
Kuniita mbabaikaji kwa kuelezea mawazo na mtizamo wangu unanikosea heshima.
Km mtizamo wangu hukubaliani nao ni bora kupita kimyakimya km umekosa lugha nzuri.
Picha imefungwa na jfPicha yake nimeshaiweka. Cha muhimu ni kwamba alikuwa mwana JF mwenzetu na alishiriki sana kwenye siasa za upinzani pamoja na Akina mnyika , na wengineo .
Niwie radhi maana haikuwa kazi rahisi
Kimya[emoji25]!tuna msiba ujue.[emoji28]
Ule ukoo pesa ipo sema ndo hivyo watoto wa Yule mama wanakufa Vifo vya ghafla. Inasikitisha. Kaka wa Straton alifariki akiwa amelala Tena baada ya uteuzi wa nafasi ya juu. Siku amefariki Ndio siku alikuwa anaenda kuripoti na dereva alishakuja kumfwata kumgongea ashavuta. Inasikitisha.
Sure..mtu mwenye pesa anaonekana hata kwa picha!Inaonyesha alikua na noti
Hata mm ..wafunge tu!Hawaamini mambo hayo.
Asante sana
Apumzike kwa Amani.Picha yake nimeshaiweka. Cha muhimu ni kwamba alikuwa mwana JF mwenzetu na alishiriki sana kwenye siasa za upinzani pamoja na Akina mnyika , na wengineo .
Naelekea Njari mkuu nitapitia Mapecos mida flani hivi.Angalia usikate mti huko maana huko karibu na Forest. Sogea karibu na timbilini tupate kitochi
Picha yake nimeshaiweka. Cha muhimu ni kwamba alikuwa mwana JF mwenzetu na alishiriki sana kwenye siasa za upinzani pamoja na Akina mnyika , na wengineo .
Kuna mtu nahisi humu bila shaka atakuwa ni yewe ninavyomuhisi asipojitokezaRIP member mwenzetu! Ila mamii ninachoonaga hapa watu wakileta taarifa za msiba za member yeyote wa JF huwa wanamtambulisha kwa ID aliyokuwa anaitumia humu na si jina lake halisi....coz humu anajulikana kwa ID yake.....all in all apumzike kwa amani