KudadekiHakuna sababu ya kutupa taarifa ya kifo chake kama hutaki kuitaja ID yake, na kama target yako kupata mchango hapa hupati kitu.
Ahahahah.RIP, siku nikifa taarifa haitafika humu, hakuna anayenijua humu
Ahahahah.RIP, siku nikifa taarifa haitafika humu, hakuna anayenijua humu
Apumzike kwa amaniKwa masikitiko makubwa ninapenda kuwataarifu msiba wa mwana JF mwenzetu bwana Straton Mushi aliyefariki mapema wiki hii baada ya kuugua muda mfupi. Mwili wa marehemu uliagwa Jana nyumbani kwake Salasala Dar Es salaam na badae kusafirishwa kuelekea Moshi- Uru Mawela kanisani kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika kesho jumamosi hapo hapo Mawela.
Marehemu atakumbukwa kwa upendo wake na harakati za kupigania haki bila kuogopa.
Poleni wana JF, wafanyakazi wote wa airtel na wanafamilia.
Kwa watakaoweza kwenda msibani Kama upo Moshi mjini Nenda stendi kuu panda magari yanaoenda uru halafu Shuka mawela kanisani hapo hapo kushoto kwako Ndio penye msiba. Kama unatumia usafiri binafsi basi ukifika Mawela kanisani ukiulizia kwenye msiba utaoneshwa bila wasiwasi.
Bwana alitoa na Bwana alitwaa jina lake lihimidiwe.
View attachment 1269118
Hapo ndipo anaposhangaza... Sasa ameleta taarifa ya nini eti mkuuSisi humu tunamjua kwa ID wewe unatuletea jina halisi taarifa inakosa mashiko na uzito kabsa
Ukifa sisi tulio hai ndio tutakuamulia kwasababu wewe aunauwezo tena wa kufanya chochoteKuna umuhimu mkuu. Kuna umuhimu kwa sababu ametoa Jina lake halisi na sehemu ya mazishi. Walio karibu watajua huyu ni member mwenzetu. Na walio mbali watatoa salam za rambirambi hapa hapa jukwaani. Kama mtu hakutaka kujianika akiwa hai basi anapofariki siyo vizuri kum'expose
Sisi humu tunamjua kwa ID wewe unatuletea jina halisi taarifa inakosa mashiko na uzito kabsa
"COMRADE" apumzike salama, ameumaliza mwendo. Wafikishie salamu kina "Mw. Nyerere" na "Baba Karume" yale waliotukataza ya kuchagua vingozi wasiofaa ndio imekua mila/ibada ya CCM. Ila tutaendelea kusukuma bendera JF mpaka tutakapofikia kilele cha demokrasia.
Swali fikirishi, sisi tusiojulikana kwa ndugu/jamaa/marafiki kama tunatumia JamiiForums, siku tukivuta taarifa za vifo sijui vipi itawafikia humu wana harakati wa JF.
Kuna mahali ametaja kuchangiwa? Kama huna hela kaa kimya kama siai wenzako. Wenye nazo wataenda msibani na watamchangia na si kupitia mtoa tangazo.Hakuna sababu ya kutupa taarifa ya kifo chake kama hutaki kuitaja ID yake, na kama target yako kupata mchango hapa hupati kitu.