Na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani amina.Raha ya milele umpe ee bwana
Inasikitisha sana, yaani huyu kamanda tumedumu naye humu ndani kwa miezi 3 tu.
Born 6th August 2013
Died (Last Seen) 6th November 2013
R.I.P sunguti2009
Pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote wa sunguti2009 pamoja na JF family kwa kumpoteza mwenzetu mmoja.
Linahepukika kaka. Thread ikifunguliwa waifunge,
wakifungua tena waifunge tena hadi anaye post ajue na aelewe
kua hatakiwi kuunganisha jina la mtu ndani ya JF na maisha yake halisi. AshaDii aje aandike kua rafiki yake XYZ alifariki siku fulani, saa fulani.
anaweza sema kua XYZ alikua member humu JF ila asitaji ID ya mwali.
Kwani lazima aseme kua XYZ ndie mwali?
Dear, najua watu wengi wanatumia ID zao kwa uzuri tu, but sometimes we share things we wouldn't be comfortable sharing out there. I can't think of anything right now, but I know there is a reason we register under pseudo: we don't want our real life to be linked to our ID.Nadhani inategemea saana niece, hasa tokana na ID yenyewe. Kuwepo hapa kwa Pen name, ni ile tu comfortability ya mtu kushiriki anonymously kwa uhuru na amani tokana na mipaka aliyojiwekea member husika. Naamini si wote wanao tumia majina anonymous huyatumia kwa kuharibu tu; kuna wengi sana tunao jamvini wana majina anonymous na ID zao zina heshima zake kiasi kwamba hata mtu ukimjua in real life si mbaya.
Suala la kuwaambia member inategemea pia. Dear, wewe hapa kupitia Mwali kuna wengi sana ambao umejenga nao urafiki, wa jamvini, to the extent ukipotea naamini kuna baadhi ambao wanakua na shauku kwa nia njema kabisa kujua kama you are good huko uliko. Kwa mtazamo wangu, ikiwa Mwali anatutoka (God forbid) na usitake followers wako wajue your status (achana na haters for they are not important in this case); Sincerely unakua hujawatendea haki.
In actual fact your ID ni nzuri, you don't misuse it hata am surprised na maamuzi yako thou naheshimu na nitafuata unavyotaka.