TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

TANZIA: Member wa JF, Sunguti2009 afariki dunia

You was an intellectual Sunguti2009,we loved u,still we love you.May the Lord be wth you,amen
 
Sote ni njia moja, si wote tunaofahamiana na kwa upande mwingine ni ngumu,apumzike kwa amani...pole sana kwa wafiwa na jf kwa ujumla
 
Mungu ailaze roho ya marehem palupo pema na paponi, AMINA....
 
Bwana ametoa,bwana ametwaa,jina la bwana libarikiwe.Amen

Hapa hatuna mji udumuo nfo maana inatupasa kumtafuta sana Mungu kuliko mambo mengine yote kwa kuwa kuna maisha baada ya haya ambapo pasipo utakatifu hakuna atakayemwona Mungu. Hays tunayohangaika nayo sana tunayaacha hapa hapa duniani. Mungu awatie nguvu wapendwa wake waliobaki.
 
Mungu akupumzishe kwa amani mkuu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
R.I.P sunguti, umetangulia mbele ya haki. nasi tutaendeleza mazuri tu uliyofanya duniani. poleni wana arusha tuko pamoja nanyi katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.
 
Oooh.. My Gawd.Sunguti!!?
R.I.P jembe. Mungu kakupenda zaidi yetu,tutakukumbuka kwa mema yako!
 
mods,

sijui ni jukwaa gani lingefaa kwa hii habari, mtanisaidia kuipeleka jukwaa linalofaa. Ila kwakuwa yeye amekuwa member wa jf na muumini wa jukwaa hili la siasa ni vizuri nikaanzia hapa.

Ni kwamba member anayejulikana kwa id ya sunguti2009 amefariki dunia leo jioni hii.
Sunguti2009 alikuwa amelazwa hospitali ya mount meru, lakini hali yake ilibadilika ghafla baada ya figo zote kufeli.

Leo hii hii alisafirishwa kwenda kupata matibabu zaidi kcmc, baada ya kupokelewa na madaktari, kabla hajaanza kupata matibabu akawa ameaga dunia.

R.i.p. Sunguti2009.

Nawasilisha

pumzika kwa amani kaka
 
Last edited by a moderator:
Sisi ni wa Mwenyezi Mungu na marejeo yetu ni kwake, RIP
 
Back
Top Bottom