TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

Pole sana Dada Ennie mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
MUNGU mwenye mamlaka kwa yote ampe marehemu pumziko la milele!

Dada yetu Ennie pole sana na hata MUNGU pekee akujaze nguvu katika hiki kipindi kigumu! Na hakika tu pamoja jamani!
 
Last edited by a moderator:
ingawa tuko mbali pokea pole zangu na rafiki zangu katika msiba huu mzito ,wa kumpoteza mumeo .mungu awape subira mmalize msiba huo kwa amani .
 
dada pole sana , hiki ni kipindi kigumu sana, naomba ujipe moyo na uvumilivu usije ukamkufuru/ ukamlaumu MUNGU.
 
Pole sana Ennie ...Ni safari ya WOTE ..Kikubwa JIPE moyo sana kwenye kipindi hiki kigumu!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mwana JF mwezangu, Alale mahali pema peponi marehemu.
Mungu atakujalia utapata mume mwengine.
 
pole sana dada yetu...Bwana akutie nguvu and apumzike kwa amani.Amen
 
pole sana, Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu.
 
Ennie, pole na msiba huo mzito. Mungu akujalie moyo wa uvumilivu
 
Last edited by a moderator:
Mungu akupatie faraja toka patakatifu pake, jina la Mungu wa Yakobo likuinue.

kiongozi ........'MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE eebwana'
kiitikio .......NA RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA,
kiongozi..........'APUMZIKE KWA AMANI'.
kiitikio ..........'AMINA.'
 
Back
Top Bottom