TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

Pole sana dada kwa msiba Mungu akupe moyo wa subira.
 
dah....pole sana Ennie......
 
Last edited by a moderator:
Pole sana da ennie !
Aminia AR wing watawakilisha!
 
Update:
1. Muda huu wako Muhimbili, ndio wanafanya process za usafiri.
2. Maziko ni kesho Jumatano 13/12/2012.
3. Muda wa mazishi ni kuanzia saa 5 na kuendelea.
4. Eneo ni Wilaya ya Mwanga, specifically mahala panaitwa Kisangara.

Pole sana dadangu Ennie!
There are currently 15 users browsing this thread. (7 members and 8 guests)

 
Pole sana Ennie. Mungu akue moyo wa subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu sana kwako!

Hizi ajali hizi we zisikie kwa watu. Siku nliyopata habari ya ajali ya basi ambalo mai waifu alikuwamo nlikunywa maji ndoo nzima na kiu haikukata.

Mungu amrehemu shemeji yetu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada yangu Ennie, kwakweli umepata pigo kubwa sana na uko kwenye kipindi kigumu sana maishani mwako, MUNGU AKUTIE NGUVU,.... R.I.P shemeji
 
Invisible message yako imefika kwa wahusika, pole sana Ennie kwa msiba mzito uliokupata, Mungu akupe ujasiri.
 
Last edited by a moderator:
NI NGUMU MNO MY DEAR! I CAN IMAGINE WHAT U R THINKING RIGHT NOW. BUT MUNGU WETU NI MWEMA SANA, HATAKUACHA KAMWE, mtegemee yeye pekee na atakuongoza vema! RIP our shemeji!! pole Ennie!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana da Ennie , be strong katika kipindi hiki kigumu kwako
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Ennie. Mungu akue moyo wa subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu sana kwako!

Hizi ajali hizi we zisikie kwa watu. Siku nliyopata habari ya ajali ya basi ambalo mai waifu alikuwamo nlikunywa maji ndoo nzima na kiu haikukata.

Mungu amrehemu shemeji yetu.
naikumbuka vema siku ile!
 
tatizo hapa kwetu, wengine watu, wengine misukule!! ni kazi sana!

I'm sure dada Ennie atapata ushirikiano wa hali ya juu...wale jamaa wapo level ingine...hapa paache palivyo.....
 
Last edited by a moderator:
MUNGU amlaze pahala pema peponi.....ni njia ya kila m 1 sote twasubiria siku yetu ifile!! R.I.P
 
Pole sana kwa kuondokewa na mpendwa wako!!Dada Ennie na fahamu hili ni jambo zito kwako through the experience! ila nitakaa chini nikuombee upate unafuu wa machungu, japo hayataisha!kilichobaki kwako yatakiwa ukubali hali ukijua hakuna awezaye kabadilisha matokeo! ila Mwenyezi mungu pekee! hivyo mtumainie yeye aliye juu!!Pole sana mungu akupe nguvu na uvumilivu wakuyashinda majaribu.Mungu aiweke roho ya marehemu mume wako mahali kuliko na pepo wa heri.😛ray2:
 
Pole sana Ennie Mungu akupe nguvu katika hiki kipindi
 
Pole sana - Mungu akupe faraja na kuwezesha kufanikisha shughuli zote za msiba.
 
Back
Top Bottom