TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

mungu akutie nguvu ktk kipipndi hiki kigumu cha msiba wa mumeo!pole sana ennie!
 
Pole sana dada. Yeye ametangulia nasi tupo nyuma yake. Mungu akujaalie imani katika kipindi hiki kigumu
 
Duh, pole sana dada, may his soul RIP
 
Back
Top Bottom