TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

Pole kwa msiba, ulimpenda ila MUNGU kampenda zaidi, bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
Pole sana dada Ennie tupo pamoja nawe kiroho.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada yetu ennie. Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nami naungana na waombolezaji kwa kumpa pole Dada Eninie. Mungu ampe nguvu aweze kuhimili msiba huu.
 
Pole sana Ennie yote ni majaaliwa ya Maulana.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Dada Ennie,Mungu wetu ni mwema atakuwa mfariji kwako!
 
Last edited by a moderator:
Mungu akupe moyo wa uvumilivu wakati wote....pole sana dada!
 
108733.gif


With my deepest sympathies on your loss. May God rest his soul in eternal peace~AMEN
 
Pole sana Dada Ennie!.
Kuna tofauti kubwa kati ya mume anayefiwa na mkewe, na mke anayefiwa na mumewe. Uzoefu unaonyesha kwa wanaume, life will be same baada ya kipindi fulani kupita, lakini kwa wanawake mnaofiwa na waume zenu, life will never be the same again!.
Usually mke akishafiwa, huingia kwenye trasformation ya leading double life to cover-up for the gap, in so doing, the "will powers" from within are released and take control of them, they become stronger than they used to be, because there is not that shoulder to learn on!, and from that point, "they can do anything" and make it!.

Be strong Ennie!, you have the powers to do everything only zilikuwa hazijafunguliwa, now its time kuzi release, by standing firm and show "strength of a woman" who has "power of a woman!".

RIP Ennie's Hubby!.

P.
 
Back
Top Bottom