TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

Pole sana dada Ennie kwa kuondokewa na ubavu wako.Mungu akupe ujasiri katika kipindi hiki kigumu.
 
Dear Amie, Pole sana kwa msiba huu mzito, tuko pamoja sana kwenye wakati huu mgumu!! RIP shemeji yetu!
 
Pole sana Ennie na familia kwa ujumla. Mwenyezi Mungu na awafanyie wepesi kupita katika gumu hili.
 
Last edited by a moderator:
Pole kipenzi chetu ,mungu amlaze shem mahala pema peponi.
 
mungu amlaze mahali pema. Pole dada Ennie .. Mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu. Amina
 
Pole dada ennie mungu akupe moyo wa subira kwani ndio njia ya wote yeye katangulia sisi tunafuata bwana ahimidiwe Amen
 
yaani tumbo linaniumaje sasa hapa! nimeshtuka si mchezo.
pole sana dada Ennie, Mungu akutie nguvu. Bwana alitoa na Bwana ametwaa Jina lake libarikiwe.
Mungu amlaze mahali pema peponi
 
Pole sana Ennie, Mungu akutie nguvu maana najua wazihitaji!
May your dear husband's soul RIP.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Ennie jamani. Mungu akupe nguvu
 
Last edited by a moderator:
My condolences to you and your family, I cannot begin to imagine the depth
of ur pain, But I pray u find comfort in the words of the Lord.

 
What a big loss! May his soul rest in eternal peace, AMEN. Pole sana Ennie.
 
Last edited by a moderator:
Dah..
Pole sana Ennie, Mungu ampumzishe pema mumeo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom