TANZIA: Bwana ametwaa - Jina lake lihimidiwe

TANZIA: Bwana ametwaa - Jina lake lihimidiwe

Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.

ASANTENI

pole xana xana Miss....
May God gv u enough strength n courage to overcome all thid hard n tough moments tht ur facing ryt now...
TUKO PAMOJA....
 
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.

ASANTENI

Pole sana my sister. May The Almighty rest her soul in eternal peace. Amen!

PP
 
Ewe mwenyenzi Mungu mwingi wa rehema mpe p umziko la milele huyu dada yetu katika shamba lako Bwana wetu. Aamin!
 
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.

ASANTENI

Pole sana..........I believe she up there smiling ,singing and dancing with Heaven Angels.
 
Dada yangu Miss strong pole sana, najua ni jinsi gani inauma kumpoteza mtu wa muhimu kama huyo. Nitasema mengi, tutasema mengi kukufariji lakini faraja ya kweli inatoka kwa Mungu.

Sisi tulimpenda lakini yeye Mungu alimpenda zaidi. Yeye ametangulia lakini sisi tuliobaki duniani tujue pia ni wapitaji tujiande kwa safari kurudi kule tulikotoka.

Tunaomba mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake katika furaha ya milele.
 
Pole sana miss strong

Mungu na akupe faraja katka kipind hiki cha majonzi,apumzike kwa amani dada kipenzi,AMEN.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana miss strong na familia yote kwa msiba huu. Mungu akupeni ujasiri na ustahimilivu katika kipindi hiki kigumu.
Marehemu apumzike kwa amani.
 
Last edited by a moderator:
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.

ASANTENI

Pole sana miss strong tuko PAMOJA......Mungu awatie nguvu wafiwa wote.
 
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.

ASANTENI

Ndugu Yangu katika Bwana

Ushauri wangu kwako ni kama ifuatavyo:

  1. Katika Injili ya Yohana, Sura ya 11 mstari wa 25 imeandikwa: Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo na uzima, Yeye aniaminiye mimi, ajapo kufa atakuwa anaishi." Yesu anatufundisha kuhusu uzima wa milele.
  2. Unaposema "Bwana ametoa, Bwana ametwaa," hayo ni makosa, kwani Yobu alikuwa na hasira wakati alipomlalamikia Mungu. Kama inavyojulikana, Mungu wetu daima hutuletea mema pekee. Anayeleta mabaya ni Shetani. Unapaswa kukumbuka kwamba si kazi ya Mungu kutuletea mabaya, bali neema na baraka na fadhila zake. Badala ya kusikitika, furahi kwa kuwa ulikuwa na ndugu yako huyo, kwa fadhila, neema na barake zake Mungu, na kwamba ulimpenda sana dada yako, ila Mungu alimjua hata kabla hajawa tumboni mwa mama yenu, na alikwisha kumpangia maisha yake, lini atarudi kwa Bwana. Sheherekea, usilie. Furahi, kwa kuwa sasa dada yako yu Nyumbani kwa Bwana. Amen!

Waambie na wengine juu ya ujumbe huu! Yesu anatufundisha kwamba kifo si huzuni, bali ni furaha. Usilie, usisikitike. Tutafurahi nawe, iwapo nawe utafurahi na kukumbuka yale yote mema uliyoyapata kutoka kwa dada yako, na ufurahi kwamba ametangulia juu mbinguni kwa Baba, ambako kila siku ni furaha tu!

Kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho Mtakatifu! Amina!

Tuwasifu milele, Yesu, Maria na Yosefu!
 
Back
Top Bottom