Ako Kwaang
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 324
- 259
Pole sana Miss strong, lakini yote ni kazi ya mungu, na kila nafsi itaonja mauti. Ametangulia na sisi wengine tunafuata. Wape Pole na wanafamilia wote
Mtambuzi, Munkari, Ruttashobolwa, Kongosho Zawad, Mchaka Mchaka, The Prof., Mamndenyi, PakaJimmy, Heaven on earth, Chloroquine............nashukuru kwa Maombi yenu ndugu zangu, nipo katika kipind kigumu lakin nimemuona Mungu akinikanda moyo wangu uliojeruhika vibaya mno
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.
ASANTENI
Poleni sana.
Mungu mwenyewe awafariji
Pole sana Miss strong, lakini yote ni kazi ya mungu, na kila nafsi itaonja mauti. Ametangulia na sisi wengine tunafuata. Wape Pole na wanafamilia wote
Pole sana na poleni wote kwa msiba.
Hakika sote ndo safari yetu na haina pingamizi.
Mungu awape nguvu. And u miss strong u have to act as your name.