mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,950
Pole sana miss strong. Mwenyezi Mungu awape nguvu ya kulikabili hili na pia amlaze dada mahala pema peponi. Apumzike kwa amani.
Last edited by a moderator:
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.
ASANTENI