TANZIA: Bwana ametwaa - Jina lake lihimidiwe

Msiba upo nane nane quarter za railway.....Mungu awabarik sana!!!!
 
nina mashaka na mkoa wa moro majanga mengi yanawakumba watu wakiwa pande za moro
1. ajali kila siku zinaripotiwa mkoa huo
2. akina malima waliibiwa na machangu wa moro
3.kkiwanda bubu cha silaha ni hapo hapo
4.
 
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.

ASANTENI

Pole sana,Mungu awapefaraja
 
Pole sana kwa familia iliyokuwa inamtegemea zaidi..
 
Pole sana dada mdogo Miss strong, Bwana akuwezeshe kukupa ustahimilivu na akutie nguvu. Tuko pamoja.
 
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.

ASANTENI

Poleni saana
stay strong...
 
Back
Top Bottom