TANZIA: Bwana ametwaa - Jina lake lihimidiwe

TANZIA: Bwana ametwaa - Jina lake lihimidiwe

pole sana miss strong as far as uko strong amini kwamba dada amelala na hajafa, sku moja utakutanishwa nae. Sisi sote tu mavumbi na mavumbini tutarudi. apumzke kwa amani.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana miss strong!Ni mipango ya Mungu,ni safari yetu wote,dada yetu katutangulia.Mungu akupe faraja pamoja na wanafamilia wote.Humu JF tunamuombea roho yake ipumzike mahali pema peponi,Amina
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Miss Strong na familia nzima. Mungu Awape faraja na amani yake katika kipindi hiki. Apumzike kwa Amani!
 
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.


ASANTENI

pole sana Miss Strong,................. RIP dada
 
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.

ASANTENI
condolence-message4.jpg pole sana miss strong. be strong just like your name in this time of tragedy
 
Back
Top Bottom