Home First
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 609
- 248
Pole .
Pole sana kwa msiba.
poleni sana miss strong...Kyala gwa maka abhimileghe!
Our prayers with you and the whole family, keep to Jesus all the timeWana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!
BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.
ASANTENI
Pole sana miss strong na wanafamilia. Mungu awafariji