TANZIA: Bwana ametwaa - Jina lake lihimidiwe

miss strong

JF-Expert Member
Jul 4, 2012
7,012
3,694
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.

Nashukuru kwa upendo wenu wapendwa mzidi kuniombea.....nipo safarini narudi dar,nipo maeneo makambako!!!!

ASANTENI
 
Pole sana Mungu akupe nguvu, ilihali amemaliza safari yake, nasi pia tutaifuata njia hiyohiyo.
 
Pole sana ndg! Mungu akutie nguv hasa kipnd hiki kigumu........ Jina lake Mungu baba lihmidiwe milele
 
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.

ASANTENI

pole sana mydia. Kila nafsi itaonja umauti, mungu akutie nguvu hasa katika kipiti hiki cha majonzi.
 
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.

ASANTENI

Poleni sana kwa msiba Mungu awape faraja na nguvu kwenye kipindi hiki kigumu.
 
Wana MMU nahitaji maombi yenu nipo safarini muda huu naelekea morogoro maeneo ya nanenane......nimefiwa na dada yangu kipenzi,Amefariki leo mchana na alikwenda kwa dada mkubwa huko morogoro likizo ya kikazi juz!!!!!!

BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA.....JINA LAKE LIHIMIDIWE.

ASANTENI

Pole sana miss strong mungu ni mwema wakati wote. Mungu akuongoze na kukupa faraja.
 
Last edited by a moderator:
pole sana miss strong, MUNGU amrehemu dada yako na amuepushie na adhabu ya kaburi,R.I.P to her
Sioni ni kwa vipi mar. anaweza kuepushwa na kaburi, na kaburi sia adhabu, ni agizo la Mungu kwamba kwa Mavumbi tutarudi!

miss strong pole sana kwa uchungu ulio nao!
Lakini zaidi ni kwamba dada yako amepandishwa cheo kutoka maisha haya ya duniani na kuhamia maisha mapya kabisa ambayo hakuna aliye huku duniani aliyepata kuyaonja.

TUko pamoja kwa majonzi!
 
duuuu!,kumbe hatutakiwi sisi tulio hai kuwaombea marehemu waepushwe na adhabu ya kaburi??,nilifikiri kwa imani suala hili linawezekana mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom