TANZIA: Bwana ametwaa - Jina lake lihimidiwe

TANZIA: Bwana ametwaa - Jina lake lihimidiwe

Pole sana miss strong! japokuwa wana jf tumetawanyika ktk maeneo tofautitofauti,ni imani yangu kuwa maombi yetu yapo pamoja kumuombea marehemu alale pema peponi na pia kuiombea familia ktk kipindi hiki kigumu cha msiba!

Asante sana mtu wa Mungu
 
Kama lilivyo jina lako miss strong Mungu akuimarishe na akupoozee uchungu ulionao! Wakati ukitafakari haya usisahau mauti ndiyo ndia pekee itakayotuondoa katika ulimwengu huu wa dhiki! Mwenzetu katangulia,nasi siku yetu ii karibu! Bwana airehemu nafsi yake!

Asante sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
miss strong my dia unaendeleaje sasa..........

leo nimekuwazia saaana.........

Asante mama yangu.......naendelea vizur sasa,nimemzika dada jana huko kwa mume wake.Tukabeba msiba kwenda kijijin kwetu jana hiyo hiyo,nimeondoka leo huko kijijini kwetu nimekuja kulala mjini kwa ajil ya safar kesho yakurejea dar es salaam!!
 
Last edited by a moderator:
Miss Strong, pole sana Mpendwa. Mwenyezi Mungu awape Imani na Amani katika kipindi hiki kigumu wewe na familia yako. Pamoja Saana.
 
Miss Strong, pole sana Mpendwa. Mwenyezi Mungu awape Imani na Amani katika kipindi hiki kigumu wewe na familia yako. Pamoja Saana.

Daaaah asante sana sanaaaaa AshaDii nahitaji maombi zaid toka kwako nimepata presha sana kwa ajil ya msiba wa dada yangu.Wakati natoka kijijin kwetu nilisikia jina linaitwa la dada yangu bas jasho lilinitoka sana!!!!
 
Last edited by a moderator:
Daaaah asante sana sanaaaaa AshaDii nahitaji maombi zaid toka kwako nimepata presha sana kwa ajil ya msiba wa dada yangu.Wakati natoka kijijin kwetu nilisikia jina linaitwa la dada yangu bas jasho lilinitoka sana!!!!

I can understand. Nimewahi mpoteza mtu wa karibu sana, hivyo naamini walau naelewa kwa kiasi unavyo umia. Sijui imani yako but kikubwa ni kumwombea tu, na kumkumbuka kwa yale ambayo mli share wakati yupo hai. Si rahisi but Mungu yu mwema, with time itakuwa nafuu. Pole sana.
 
Asante sana......naomba na ntazid kuomba Mungu anisaidie!!!!
 
Back
Top Bottom