Afisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, TAKUKURU amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na mtumishi mwenzake kwa bahati mbaya walipokuwa katika sherehe za kumuaga mwenzao katika hotel ya South Beach iliyopo Kigamboni jijini hapa Dar es salaam. Risasi hiyo ilimpata mhanga huyo katika kichwa na kumuua hapohapo. Innalillah wayna ilahy rajiun
Yaani Mnaenda sherehe na Bunduki? Halafu sherehe yenyewe ya kuaga Mtu, wacheni maskaha bana.Afisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, TAKUKURU amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na mtumishi mwenzake kwa bahati mbaya walipokuwa katika sherehe za kumuaga mwenzao katika hotel ya South Beach iliyopo Kigamboni jijini hapa Dar es salaam. Risasi hiyo ilimpata mhanga huyo katika kichwa na kumuua hapohapo. Innalillah wayna ilahy rajiun
ilikuwaje
usalama wa bunduki unafunguliwa
risasi inaenda chemba
taiga anabonyeza
risasi inatoka
bahati mbaya kweli?
hafai kupewa au kumiliki siraha
uzembe wa hali ya juu
Afisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, TAKUKURU amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na mtumishi mwenzake kwa bahati mbaya walipokuwa katika sherehe za kumuaga mwenzao katika hotel ya South Beach iliyopo Kigamboni jijini hapa Dar es salaam. Risasi hiyo ilimpata mhanga huyo katika kichwa na kumuua hapohapo.
Innalillah wayna ilahy rajiun
[/LEFT]
Who?-Bhoke Ryoba, Ofisa wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru),Five Ws + one H ziko wapi?
Hizi habari roborobo bana, tunashindwa tuchangie nini!
hebu uliyeleta uzi toa habari kamili! nashangaa comments kibao
wakati haina mashiko, very stupidi indid!
Yaani Mnaenda sherehe na Bunduki? Halafu sherehe yenyewe ya kuaga Mtu, wacheni maskaha bana.
Bunduki tokea lini ikashikwa wakati mdomo wake unaangalia juu? Jamaa walipanga kumwaga mkuu wao kwa kumla risasi ya kichwa.
Huyo aliye uwa ana cheo gani na amesha wekwa lupango?
Kwenye sherehe? na ulifungua usalama risasi iende chemba?It happens jamani manake hata mimi ilishawahi kunitokea bahati nzuri nilikuwa nimeelekeza chini
Baadaye ofisa habari wa Takukuru Doreen Kapwani alifafanua kuwa ofisa huyo mchunguzi alifikwa na umauti wakati anajumuika na marafiki zake katika moja ya tafrija iliyokuwa ikifanyika katika eneo la Kigamboni.
Alisema akiwa katika hafla hiyo, ghalfa walitokea watu wasiojulikana na kumiminia risasi hadi kufa.
"Hawa watu walimvamia Ryoba aliyekuwa kwenye sherehe moja na kumshambulia kwa risasi na kisha wakatokomea kusikojulikana," alisema na kuongeza:
"Watu hao hawakutambulika kwa kuwa baada ya kutekeleza azma hiyo walitoweka haraka na kutokomea."
Alipotakiwa kueleza pengine kumekuwepo matukio yoyote katika siku za hivi karibuni yanayoweza kusababisha tukio hilo, Kapwani alijibu "ni mapema mno sasa kudadisi suala hilo."
Kapwani alisema Ofisi ya Takukuru kwa sasa haiwezi kueleza chochote kwani tukio hilo limeripotiwa polisi kwa uchunguzi zaidi.
Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleman Kova alipotakiwa kuelezea hatua zilizochukuliwa na jeshi hilo baada ya tukio hilo, alisema kuwa hangeweza kuzungumzia chochote kwa vile alikuwa nje ya ofisi.