Takukuru wanaruhusa ya kutembea na silaha?
uzembe,siku ikitokea ikafyatuka na kuchabanga mbupu ndo mtatia akiliIt happens jamani manake hata mimi ilishawahi kunitokea bahati nzuri nilikuwa nimeelekeza chini
huna taarifa hiyo..wako full hao jamaa..na ukikutana nao njia huwezi hata watambua matozi masistadoo mbayaa..kumbe viunoni wana miguu ya kukuutakukuru wanaruhusa ya kutembea na silaha?
afisa wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa, takukuru amefariki dunia baada ya kupigwa risasi na mtumishi mwenzake kwa bahati mbaya walipokuwa katika sherehe za kumuaga mwenzao katika hotel ya south beach iliyopo kigamboni jijini hapa dar es salaam. Risasi hiyo ilimpata mhanga huyo katika kichwa na kumuua hapohapo. Innalillah wayna ilahy rajiun
It happens jamani manake hata mimi ilishawahi kunitokea bahati nzuri nilikuwa nimeelekeza chini
It happens jamani manake hata mimi ilishawahi kunitokea bahati nzuri nilikuwa nimeelekeza chini
poleni ila kwenye sherehe na silaha wapi na wapi
Mkuu.. Bunduki zote zinakuwa na safety pin.. Ikiwa off hata ufanye haiwezi hata ciku moja kufyatuka risasi.. Inapokuwa on ndo hapo ukigusa trigger kidogo ngoma inatoka.. Sasa ukisema it happens maana yake sio bahati mbaya.. Ni uzembe na makusudi maana ni lazima uliweka on kwa maana ya risasi zitoke.. Ndo ya Ditopile haya..
kumbe na wewe takukuru eeh? Nna kesi na nyie, nitakusaka nikupe rushwa unisaidie kuimaliza shemeji.